TRANSLATE THIS BLOG

Tuesday, August 21, 2012



Gu Kailai ahukumiwa kifo Uchina



passionfleva@rocketmail.com


Gu mke wa Bo Xilai, mwanasiasa wa Uchina...
Mke wa mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa nchini Uchina Bo Xilai amepatiwa hukumu ya kifo ambayo badala yake atatumikia kifungo gerezani kwa mauaji ya mfanyabiashara wa Uingereza Neil Heywood.

No comments:

Post a Comment