TRANSLATE THIS BLOG

Friday, August 17, 2012


M'Bengue: Arsenal wanataka kunisajili

August 17, 2012
By ESPN staff
Beki wa kushoto wa Toulouse  Cheikh M'Bengue amesema anatakiwa na   Arsenal - lakini klabu yake imekanusha taarifa hizo na kusema kuwa klabu hiyo yenye maskani yake london kaskazini hawajatuma ofa yoyote.
Cheikh Mbengue, Geoffrey Dernis
GettyImagesCheikh M'Bengue says he is an Arsenal target
M'Bengue, 24, anamkataba na  Les Pitchouns mpaka mwezi June 2014, na mmiliki wa  Toulouse  Olivier Sadran ameliambia  L'Equipe: "kwa mimi , everything is cleare. teyari ligi imeshaanza na hakuna hata mmoja atakaeondoka ."..........
But M'Bengue said: "I still have two years on my contract and I'm a key player here. I have no clause or agreement to leave - but Arsenal is something you cannot turn down if everyone is okay.
"I hope he [Sadran] won't block me if an interesting proposal comes up. Arsenal would be awesome."
Asked whether he could meet the challenge of playing in the Premier League, he said: "I have played more than 100 Ligue 1 games and I'm a Senegal player. It's a question which doesn't stand."........

No comments:

Post a Comment