TRANSLATE THIS BLOG
Thursday, August 30, 2012
Tuesday, August 21, 2012
passionfleva@rocketmail.com
klabu ya Fulham ipo kwenyemazungumzo na Striker wa zamani wa Arsenal Eduardo 29-year-old wa kitita cha £7 m kuja kuwa mbadala wa forward wa kimataifa wa marekani Dempsey ambae mapema wiki hii alikataa kuichezea timu hiyo.
TETESI ZA UHAMISHO(Usajili)LEO JUMANNE...
Majogoo wa jiji Liverpool will tell Andy Carroll, 23, kuamua mustakabali wake wa baadae mwishoni mwa week......
Daniele De Rossi, 29,ambaye anawindwa na Manchester city is set to stay with Roma na kiungo huyo ameitisha kikao leo jumanne na wahandishi wa habari kwaajili ya kutoa uwamuzi
Queens Park Rangers wanamtaka beki wa Tottenham Michael Dawson, 28.
huwenda kiungo Tom Huddlestone, 25, akaondoka kwa mkopo White Hart Lane baada ya Stoke kuonyesha nia ya kutaka kumsajili.
Tottenham haina nia ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal 28-year-old Marouane Chamakh.
But they are planning to move for Roma midfielder Miralem Pjanic, 22, before the transfer window closes.
Spurs are also considering a move for 26-year-old Edin Dzeko, with no breakthrough in their attempts to sign Dzeko's fellow Manchester City striker Emmanuel Adebayor.
But 28-year-old Adebayor hopes to complete his £5m move from City to Tottenham later this week.
klabu ya Fulham ipo kwenyemazungumzo na Striker wa zamani wa Arsenal Eduardo 29-year-old wa kitita cha £7 m kuja kuwa mbadala wa forward wa kimataifa wa marekani Dempsey ambae mapema wiki hii alikataa kuichezea timu hiyo.
Zenit St Petersburg wametuma fresh approach yakumsajili permanently Andrey Arshavin, Arsenal wanataka kiasi cha £10m kwaajili ya 31-year-old forward.
LIGI DARAJA LA KWANZA-UINGEREZA...LEO USIKU
Scores, Results & Fixtures
Latest Football
- BrightonvCardiff19:45
- Bristol CityvCrystal Palace19:45
- CharltonvLeicester19:45
- HuddersfieldvNottm Forest19:45
- MiddlesbroughvBurnley19:45
- PeterboroughvMillwall19:45
- Sheff WedvBirmingham19:45
- WatfordvIpswich19:45
- WolvesvBarnsley19:45
- BlackpoolvLeeds United20:00
- BoltonvDerby20:00
View Live ScoresAll times UK
Meles Zenawi wa Ethiopia amefariki
21 Agosti, 2012 - Saa 08:13 GMT
Alikuwa na umri wa miaka hamsini na saba na ni mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa na ambaye utawala wake ulikumbwa na utata barani afrika.
Hali yake ya afya imekuwa ikiangaziwa kwa majuma kadhaa sasa ingawaje hakukuwa na thibitisho kuhusu alichokuwa akiugua hasa.
Taarifa zinazohusiana
Taarifa ya baraza la mawaziri imesema kuwa Zenawi alikuwa akipokea matibabu ng'ambo na afya yake ilikuwa ikiimarika lakini akazidiwa siku ya Jumapili alipolazimika kurejeshwa hospitali, ''Ingawaje madaktari wake walifanya kila wawezalo, alifariki jana mwendo wa 23:40,'' taarifa hiyo imesema.
Bwana Zenawi alikuwa kiongozi wa Ethiopia wakati taifa hilo lilipoingia vitani na nchi jirani ya Eritrea mwaka 1998.
Meles Zenawi aliingia mamlakani mwaka 1991 baada ya mapinduzi lakini akapokea sifa kutoka kwa mataifa ya magharibi.
Waziri mkuu wa Kenya raila Odinga ameiambia BBC kuwa ana hofu kuhusu hali nchini Ethiopia kufuatia kifo cha Meles Zenawi.
Alisema kuwa hali nchini humo sio nzuri huku vita vya kikabila vikiendelea kuwa tishio.
Bwana Odinga alimtaja Zenawi kama kiongozi mashuhuri na mwenye elimu bora, aliyejitolea kuunganisha bara la afrika.
Naibu waziri mkuu Hailemariam Desalegn anatarajiwa kuchukua mahala pake.
Monday, August 20, 2012
Zoezi la kumchagua rais wa Somalia ambalo lilitarajiwa kufanyika leo hii (20.08.2012) limeshindikana kutokana kuwepo kwa mzozo katika zoezi la kuchagua wabunge 275 taifa hilo.
Miongoni mwa wagombea wanaopewa nafasi kubwa kushinda, ni rais wa sasa wa serikali ya mpito, Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, Waziri Mkuu Abdiweli Mohamed Ali na Spika anayemaliza muda wake, Sharif Hassan Sheikh Adan. Sudi Mnette alizungumza moja kwa moja kutoka Somalia na mwenzetu Hussein Awes na kwanza alimuuliza Rais wa Somalia atapatikana kama ilivyopangwa?
Mabingwa Borussia Dortmund na Werder Bremen watafungua msimu wa 50 wa ligi kuu ya Ujerumani Bundeslifa Ijumaa (24.08.20012), ikiwa ni miaka 49 baada ya timu hizo mbili kukutana katika siku hiyo ya Agosti 24 mwaka 1963.
Timo Konietzka alifunga bao la kwanza la ligi hiyo mpya lakini hakuna ushahidi wowote wa picha za gazeti wala televisheni za kuonyesha bao hilo lililofungwa katika dakika ya kwanza.
mechi ya Ijumaa hii, itarushwa moja kwa moja kwenye televisheni za ujeruman, pamoja na kompyuta, vifaa kama vile simu.
Ligi ya Bundesliga imekuwa ni taasisi ya kitaifa ikiwa na rekodi ya wastani ulimwenguni ya uhudhuriaji wa mashabiki tangu ilipoanza kwa mwendo wa pole, kuponea sakata za kupanga mechi katika mika ya sabini na kuwatengeneza mashujaa kama vile Franz Beckenbauer, Gerd Mueller, Wolfgang Overath na Guenther Netzer.
Msimu wa kwanza wa Ligi ulikuwa na timu 16 kabla ya ligi kukua hadi tmu 18 na kwa kipindi kifupi timu 20 katika miaka ya mapema ya tisini ili kuzijumuisha timu za Mashariki ya Ujerumani baada ya muungano wa nchi hiyo.
Bayern ambayo ilijiunga na ligi hiyo katika mwaka wa 1965, ndiyo iliyoshinda mataji 21 ikilinganishwa na matano kila mmoja ya mahasimu wake wa karibu Borussia Dortmund na Borussia Moenchengladbach.
Zeman: De Rossi atabaki
mocha wa klabu ya AS Roma Zdenek Zeman Anaamini kwamba mchezaji wake Daniele De Rossi ataendelea kubakia Stadio Olimpico msimu hue baada ya kuwa na uvumi uliozuka weekend hii kwamba mabingwa wa liege kuu ya soka inchini uingereza Manchester City wanataka kufanya usajili wake.
Monday's gossip column - transfers and rumours
For updated transfer news and gossip throughout the day, read our breaking news service Sportsday Live.TRANSFER GOSSIP
Full story: Daily Mail
United look set to bolster their ranks with the signing of 23-year-old left-back Alexander Buttner from Vitesse Arnhem.
Full story: Manchester Evening News
Manchester City have joined Chelsea in the race to sign Fiorentina's 22-year-old forward Stevan Jovetic.
Full story: Metro
City will enter the transfer market for a new striker if the knee injury Sergio Aguero suffered in Sunday's victory over Southampton is serious.
Full story: the Guardian
Chelsea are likely to sign Victor Moses if they meet Wigan's £9m valuation of the 21-year-old forward.
Full story: Daily Telegraph
Striker Michael Owen, 32, is close to joining Everton on a free transfer after being released by Manchester United.
Full story: Daily Mail
AC Milan will step up their efforts to land 24-year-old Arsenal striker Nicklas Bendtner in a swap deal with centre-back Philippe Mexes, 30.
Full story: the Sun
Tottenham have made a shock move to sign 28-year-old Arsenal striker Marouane Chamakh.
Full story: Daily Mirror
Charlie Adam has been informed that he can leave Liverpool for offers of more than £5m, while fellow midfielder Joe Cole, 30, is also available for transfer.
Sunderland have lodged a £10m bid for Manchester City's 25-year-old midfielder Adam Johnson.
Daniel Agger, 27, is ready to sign a lucrative new deal with Liverpool and snub Manchester City - despite the defender's red card in the opening-day defeat at West Brom.
Song Atua Barca rasmi!!!
kingo wa washika bunduki wa london Arsenal Alex Song amefaulu vipimo vya afya na kusaini mkataba wa miaka mitano na klabu ya Barcelona yenye maskani yake Camp Nou.
Song, 24, ameyakamilisha hayo leo mchana baada ya kuhusishwa kutaka kuhamia moja ya klabu bingwa barani ulaya Barcelona .
katika mtandao wa klabu hiyo daktari wa klabu Ricard Pruna amesema Song yuko vizuri kiafya na yuko very good muscular quality. na hadhani kama alishapata muscle injury tangu akiwa na umri wa miaka 17 . Na hiyo ni habari njema,kila vipimo vimekwenda vizuri.
king huyo wa kimataifa wa Cameroon alikuwa Emirates Stadium tangu 2005, inaaminika amejiunga na wakali hao wa hispania kwa ada ya €19 million.
usajili wa Alex song Barca ni moja ya mikakati Tito Vilanova kukiimarisha kikosi chake.
kuondoka kwa Song kumefungua njia kwa Arsenal kuweza kushinda mbio za usajili wa mkopo wa Nuri Sahin kutoka Real Madrid.
NOW CAMP BINGWAAAAAAA!!!!!
BONANZA -KUGOMBEA MBUZI
Timu ya Now Camp leo imefanikiwa kuibuka mabingwa katika bonanza LA KUGOMBEA MBUZI lililofanyika katika uwanja wa ndani shule ya sec.Galanosi baada ya kuichabanga Mikoroshini 1-0.
katika mchezo huo wa wafainali uliopigwa majira ya saa 11 za jioni, goli la mabingwa likifungwa na FRED DASTAN kunako dk ya 15 kipindi cha kwanza..
mpaka dk 90 zina malizika Now Camp 1-0 Mikoroshini.
Katika mchezo wa awali wa kutafuta mshindi wa tatu,Timu ya LEVOLOSTI iliibuka na ushindi mbele ya KIRARE kwa pen.4-2 baada ya kumaliza sare ya bila kufungana.
Awali bonanza hilo lilishirikisha timu 6 nazo ni ,SHASHAA,MKOROSHINI,NOW CAMP,LEVOLOST,KIRARE NA BUCHER zote kutoka Nguvumali.
mgeni rasmi alikuwa ni Mjumbe wa kamati ya utendaji wa TFF Taifa Khaleed Abdallah,akiwa ameambatana na mmoja wa waandaaji na mwenyekiti wa vasco dagama BERNAD GORIAMA.
katika bonanza hilo Mshindi wa kwanza ameibuka na mbuzi Dume,mshindi wa pili kreti mbili za soda na mshindi wa tatu kreti moja ya soda......Habari zaidi na picha baadaee!!
leo katika historia!!!!!!!!!!!Agosti 20
Leo ni Jumatatu tarehe Pili Mfunguo Mosi Shawaal mwaka 1433 Hijiria
inayosadifiana na tarehe 20 Agosti mwaka 2012 Miladia
Siku kama ya leo miaka 14 iliyopita, yaani Agosti 20 mwaka 1998 Marekani
ilizishambulia kwa makombora Sudan na Afghanistan. Serikali ya
Washington ilidai kwamba, watu walioshiriki katika kulipua kwa mabomu
balozi za Marekani mjini Dar es Salaam Tanzania na Nairobi Kenya wiki
mbili kabla, walikuwa na uhusiano na nchi hizo. Aidha Washington ilisema
ilikishambulia kwa mabomu kiwanda cha kuzalisha madawa cha ash-Shifaa
nchini Sudan kwa madai kwamba kilikuwa kikitengeneza mada za kemikali.
Hata hivyo weledi wa masuala ya kisiasa walisema kwamba, sababu ya
Marekani kufanya mashambulio ya mabomu dhidi ya Sudan na Afghanistan
ilikuwa ni kujaribu kufunika fedheha ya kimaadili iliyokuwa ikimkabili
rais wa nchi hiyo Bill Clinton. Kwa ajili hiyo mashambulizi hayo
yaliamsha hasira za fikra za walio wengi na serikali nyingi duniani
dhidi ya siasa za kutumia mabavu na kujichukulia maamuzi ya upande mmoja
za Marekani.
Siku kama ya leo miaka 849 iliyopita muwafaka na tarehe Pili Shawwal
mwaka 584 Hijiria, alifariki dunia Ibun Ta'awidhi mshairi na mwanafasihi
wa Baghdad. Alizaliwa mwaka 519 Hijiria na ujanani mwake aliwahi
kufanya kazi mahakamani. Mshairi huyo wa Kiislamu alipitisha wakati wake
mwingi kusoma mashairi. Ibun Ta'awidhi ametunga mashairi mazuri sana na
marefu ya kuwasifia Watu wa Nyumba ya Mtume Mtukufu SAW. Mashairi huyo
kabla ya kupoteza macho yake alifanya jitihada kubwa za kukusanya
athari zake na hata baada ya kupofuka macho yake aliendelea kutunga
mashairi.
Na miaka 498 iliyopita katika siku kama ya leo, kulitokea mapigano ya
kihistoria ya Chaldoran kati ya Iran na dola la Othmania katika eneo la
bonde lililoko kati ya Tabriz na Khoui, kaskazini magharibi mwa Iran.
Mapigano hayo yalikuwa kati ya wapiganaji wa Shah Ismail Swafawi na
vikosi vya Sultan Salim Othmani.
Subscribe to:
Posts (Atom)