TRANSLATE THIS BLOG

Friday, August 17, 2012


Dempsey amekataa kuichezea Fulham

August 17, 2012
By passionfleva
Clint Dempsey atapigwa faini kwa kukataa kucheza mechi ya ufunguzi wiki-end hii akiwa na timu yake ya Fulham , lakini ESPN wanaamini kwamba muamerica huyo hataki tena kuichezea klabu hiyo.
Clint Dempsey
PA PhotosClint Dempsey mkataba wake unakwisha mwakani

Dempsey, 29, alikuwepo Craven Cottage tangu 2007 , lakini mkataba wake unamalizika mwakani........
The USA international was left out of the club's pre-season training camp in Switzerland amid speculation about his future and will not feature in Fulham's Premier League opener at home to Norwich City on Saturday. Manager Martin Jol confirmed that Dempsey wants to leave, but said the forward will only be sold if the club receives a suitable bid

No comments:

Post a Comment