TRANSLATE THIS BLOG

Monday, August 20, 2012


Zeman: De Rossi atabaki
mocha wa klabu ya AS Roma  Zdenek Zeman  Anaamini kwamba mchezaji wake Daniele De Rossi ataendelea kubakia Stadio Olimpico msimu hue baada ya kuwa na uvumi uliozuka weekend hii kwamba mabingwa wa liege kuu ya soka inchini uingereza  Manchester City wanataka kufanya usajili wake.

No comments:

Post a Comment