Ufunguzi wa ligi ya MBOYA CUP 2012!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tanga
Road Campe
Timu ya road camp jana ilianza vyema michuano ya MBOYA CUP 2012 baada ya kuchomoza na ushindi mnono dhidi ya VAMPIRE wa goli 6-3 na kufanikiwa kuingia katika hatua ya makundi katika mechi ya ufunguzi wa ligi hiyo iliyofanyika uwanja wa chera barabara ya 19...Vampire
Mgeni rasmi MH diiwan ;Sureiya na Mdhami wa ligi Alphons Mboya wakishauriana jambo.
Timu zikikaguliwa
Vijana wa kushake shake ,maarufu kama (lea lea) wakifanya mambo katika ufunguzi wa namna yake
Mashabiki wasoka walivyojitokeza
Mratibu wa ligi ya MBOYA CUP MH;Rajab-mwenyekiti wa mtaa
MBOYA HARDWARE NDIO WADHAMINI WA LIGI YA MBOYA CUP....NI DUKA LA VIFAA VYA UJENZI
No comments:
Post a Comment