TRANSLATE THIS BLOG

Thursday, October 4, 2012

SI LAMICHEZO BUT LIMENIGUSA!!!!!!!!





Hata  hizo inadaiwa  kuwa jitihada zinazofanywa na madaktari na wauguzi wa Hospitali hiyo ya Muhimbili kwa mtoto Juliana ni kubwa  sana ambazo zinatia moyo kwa wauguzi wa mtoto  huyo waliopo hapo.

Hawa ni wadau  waliojitokeza kuchangia kwa siku mbli hizi ni pamoja na Frank Mchomvu (Tsh 11,000) na Atuboneksye Massapa (Tsh.20,000)mtandao  huu unaendelea kuwashukuru wote wanaoendelea kutoa michango yao kunusuru uhai wa mtoto Juliana ambaye ni yatima


Mtandao huu unaendelea kuwapongeza wote wanaoendelea kuguswa na kuungana na wadau wengine kumchangia fedha za matibabu ,mtoto Juliana kama anavyoonekana akiwa ameunga uso wake kwa moto ni yatima anahitaji msaada wako ili kunusuru maisha yake waweza kutuma mchango wako kwa njia ya M-PESA katika namba hii 0754 026 299 au Tigo Pesa 0712 750199 namba hizi ni za mmiliki wa mtandao huu Bw Francis Godwin 
Nawaomba tuungane kufanikisha kuokoa maisha ya mtoto Juliana Mwinuka na Mungu atatuongezea zaidi

No comments:

Post a Comment