TRANSLATE THIS BLOG

Wednesday, October 3, 2012


RVP: kuna mengi kwangu zaidi zaidi ya kufunga 


Mshambuliaji wa Mashetani wekundu Manchester United Robin van Persie atakuwa na mabo mengi zaidi anavyotizamika sasa  kwa kuwa chchu ya kutoa pasi za uhakika za mwisho na pia kuifungia magoli mengi Red Devils.
Robin van Persie scores his second goal against ClujRobin van Persie akifunga goli lake la pili dhidi ya Cluj
Van Persie, 29, mpaka sasa amefikisha jumla ya magoli 7 tangu atue United  ukijumlisha na ushindi wa jana katika klabu bingwa barani ulaya alipotupia mawili usiku wa kuamkia leo dhidi ya Cluj.

No comments:

Post a Comment