BREAKING NEWS: Redknapp kocha mpya Bournemouth
Redknapp mwenye 65-year-old alikuwa hana timu baada ya kutimuliwa na timu ya london kaskazini ya Tottenham msimu uliopita na sasa amerejea katika soka baada ya kupata nafasi ya kuifundisha moja ya timu inayoshiriki League One side

Getty
Bournemouth ni klabu yenye maskani yake Goldsands Stadium ni timu Redknapp kabla yakutua spurs alikwishawahi kuitumikia klabu hiyo kama mchezaji na kuwa meneja katika kipindi cha nyuma....
mwenyekiti wa klabu Eddie Mitchell told the club's official website.
“bado anamapenzi na klabu na soka kwa ujumla
Redknapp aliitumikia kwa miaka minne klabu hiyo ya south coast side kama mchezaji na baadae kujiunga na West Ham mwaka 1972 na kucheza zaidi ya mechi 100 .
Harry alirejea kama manager mwaka 1983 na kuiletea mafanikio makubwa Football League Trophy and promotion from the Third Division.
No comments:
Post a Comment