TRANSLATE THIS BLOG

Monday, September 24, 2012

Gerrard: Maamuzi ya Referee yametugarimu!!!!! 

Steven Gerrard Amesema maamuzi yaliyofanywa na  referee 

 Mark Halsey  baina yao na  Man utd nyumbani Anfield jana 

jumapili katika muendelezo wa ligi kuu ya soka uingereza ,

ilikuwa ni sababu ya Liverpool kupokea kichapo cha 

2-1 kutoka kwa Manchester United

Steven Gerrard

Jonjo Shelvey alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya  Jonny Evans, ... United walishinda mechi hiyo kwa goli la pili lililotiwa kimiani na Robin van Persie spot kick.

 

kipigo hicho kwa Liverpool kimewafanya kuendelea kusalia na  two points katika mechi tano walizokwisha cheza....

No comments:

Post a Comment