PSG mbioni kumsajili Van der Wiel
meneja wa PSG Carlo Ancelotti amesema klabu yake ipo mbioni kumsajili beki wa kulia wa Ajax Gregory van der Wiel .
PA Photos
Van der Wiel alikuwepo katika mechi ambayo PSG wakipata ushindi wao wa kwanza msimu hue kwa kuwachapa Lille 2-1.
No comments:
Post a Comment