TRANSLATE THIS BLOG

Thursday, September 6, 2012


Mourinho: I joined Real Madrid in order to challenge Barcelona

The former Inter boss Jose Mourinho  amesema moja ya sababu ya yeye kujiunga na  Real Madrid katika msimu wa  2010 ni kuleta ushindani kwa Barcelona .

mreno huyo inaimani kubwa kabisa kwamba ligi ya spain ni ligi kubwa kabisa duniani ,tunazungumzia Barcelona na  Real Madrid,ambazo ni timu kubwa  ambazo ndio vinara  La LIGA  na zinauwezo wa kuleta ushindani kwa timu yeyote ulimwenguni na hiyo ndio haswaa sababu iliyonipekea kujiunga Real Madrid. Na sio rahisi  kushindana na Barcelona.ni ngumu sana  kushinda katika kinyang’anyiro hichi.

"maisha ni rahisi mno ktika ligi nyingine,ligi yeyote ambayo hakuna Barcelona  ni rahisi. Barca ni moja ya sababu iliifanya Madrid kuwa hapa ilipo’’……

No comments:

Post a Comment