TRANSLATE THIS BLOG

Tuesday, September 4, 2012

Podolski anamatumaini ya ushindi-arsenal


Lukas Podolski anaamini kwa uwezo aliokuwa nao katika soka utakuwa chachu ya ushindi Gunners hii ni baadaya kuanza kufuta ukata uliokuwa unamkabili katika mechi mbili za kwanza na kutupia moja ya koli kati ya mawili yaliozima ndoto za liverpool kuibuka na ushindi katika dimba la nyumbani Anfield siku ya jumapili.



akizungumza na mtandao wa klabu ya Arsenal  Podolski  amesema ndio ameanza/amefungua pazia la magoli kwake katika Premier League.

"ilikuwa ni muhimu. nimefurahi kufunga goli langu la kwanza hapa[Anfield] Liverpool  mbele ya mashabiki na pia nimefurahi kushinda na kutoka na point 3 muhimu.....

No comments:

Post a Comment