TRANSLATE THIS BLOG

Wednesday, September 5, 2012

Messi: usiniulize chochote kuhusiana na Ronaldo

nyota wa Barcelona amekataa kujibu swali lolote juu ya nyota wa kireno  Ronaldo,ambae kwa sasa hafurahishi na mwenendo mzima unaoendelea  RealMadrid.

Cristiano Ronaldo and Lionel Messi - Real Madrid vs. Barcelona 

Ronaldo aliina kudai hana furaha klabuni hapo baada ya kukataa kushangilia goli lake la 149 na la 150 dhidi ya Granada siku ya jumapili....

No comments:

Post a Comment