TRANSLATE THIS BLOG

Monday, September 3, 2012


Sven joins Thai club

meneja wa zamani wa England  Sven Goran Eriksson amerejea katika soka (football) baada ya kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa ufundi(technical director) katika klabu  ya BEC Tero Sasana inayoshiriki ligi kuu ya soka ya Thailand.
svengoranerikssoncloseup_275x155.jpg
GettyImages
Sven Goran Eriksson is set for Thailand
Eriksson, 64, alikuwa hana kazi tangu alipotimuliwa kazi ya ukocha na  Leicester City mwaka jana  October 2011.
BEC Tero Sasana inashiriki Thai Premier League,na tayari inashikilia  mataji mawili katika michuano miwili tofauti……
kocha hue wa zamani wa Ivory Coast atakuwa katika bench la klabu hiyo siku ya jumamosi wakati klabu yake itakapokwaana na Chainat .
Mswiden huyo pia alishawahi kuwa meneja wa  klabu za Sampdoria, Lazio and Manchester City kwa kipindi tofauti tofauti.

No comments:

Post a Comment