TRANSLATE THIS BLOG

Monday, September 3, 2012


Taylor nje msimu mzima

mlinzi wa Swansea City Neil Taylor atakuwa nje ya uwanja msimu mzima wa liege kuu ya soak uingereza baada ya kuvunjika ankle.
neiltaylorinjury_275x155.jpg
GettyImages
Swansea's Neil Taylor atakosa msimu mzima wa ligi

Taylor, 23, aliumia katika 20th ya mchezo walipokuwa wananaikabili Sunderland na yeye kukimbizwa hospital kwa matibabu zaikai….katika mechi hiyo ya jana timu hizi zilitoka sare ya kufungana bao 2-2

No comments:

Post a Comment