TRANSLATE THIS BLOG

Friday, September 7, 2012


HABARI FUPI FUPI

Beki wa Chelsea timu ya taiga ya  uingereza  Ashley Cole, 31, anajipanga kuondoka klabuni hapo mwezi wa kwanza au mwishoni maw msimu huu na kuelekea ufaransa katika klabu ya Paris Saint-Germain .

-------------------------------------------------------------------------------------------------------

meneja wa Real Madrid Jose Mourinho anaamini history pekee ya klabu hiyo itatosha kumbakiza nyota  wa kireno  Cristiano Ronaldo, 27,na kuwa  out of Manchester City's reach.

--------------------------------------------------------------------------------------

Bosi wa washika bunduki wa london Arsenal  mzee Arsene Wenger anamtaka beki wake Bacary Sagna, 29, na  Kieran Gibbs, 22,kusaini mkataba mpya . Sagna atapewa of a nzuri japokuwa akishangazwa na sera za usajili klabuni hapo.

---------------------------------------------------------------------------------------

mshambuliaji wa kimataifa wa Colombia, Radamel Falcao, 26, amekanusha taarifa zilizosema ataondoka  Atletico Madrid na kuelekea katika ligi kuu uingereza na kujiunga na Manchester City au Chelsea.

-----------------------------------------------------------------------------------

kiungo wa QPR  Samba Diakite amerejea nyumbani ufaransa kwa aajili ya matibabu zaidi. mchezaji huyo mwenye  miaka 23 atapewa muda zaidi mpaka atakapo pona na kurejea katika hali yake ya kawaida.

-------------------------------------------------------------------------------------

meneja wa Newcastle United Alan Pardew anasubiria taarifa kamili juu ya Fabricio Coloccini baada ya beki huyo kuumia nyama za paja wakati akitumikia timu yake ya taifa  Argentina.

No comments:

Post a Comment