TRANSLATE THIS BLOG

Wednesday, September 5, 2012

Del Piero ajiunga Sydney FC

mchezaji wa kimataifa wa italy del piero  ameamua kuitumikia moja ya klabu inayoshiriki ligi kuu ya soka Australia.

mkongwe huyo wa soka na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya italia amekubali mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Sydney fc...

Alessandro Del Piero - Juventus
Sydney FC wamekamilisha usajili wa Alessandro Del Piero akiwa mchezaji huru.Mkongwe huyo amesaini mkataba wa miaka with the A-league side, worth 2 million euros per season.

No comments:

Post a Comment