TRANSLATE THIS BLOG

Tuesday, September 18, 2012


Wenger Hana uhakika na Walcott kubakia gunners !!!!!!!.........

Meneja wa washika bunduki wa london Arsenal mzee 

Arsen Wenger ,amesema hana uhakika na mustakabali wa 

baadae wa winga wake wa kingereza Theo kama atakubali 

kusain mkataba mpya ......na  amekubali kuwa jambo hilo

 kunchanganya .....


Walcot alikuwa ndie aliyehitimisha idadi ya magoli katika ushindi wa bao 

6-1 dhidi ya New Boys Southampton katika uwanja wa nyumbani 

Emarate wikiend iliyopita katika muendelezo wa ligi kuu uingereza....

Haya yamejiri baada ya kuibuka tetesi kwamba katika wiki ya mwisho 

kabla ya dirisha la usajili kufungwa Walcott alikataa mkataba mpya

 ambao angekuwa akipokea 75,000 pounds kwa week and was instead, 

holding out for 100,000.

Theo 23,amesalia na mwaka mmoja tu kuitumikia Arsenal.

No comments:

Post a Comment