TRANSLATE THIS BLOG

Wednesday, September 5, 2012

Carroll nnje wiki sita 

klabu ya West Ham utd jumatano ya leo imethibitisha kwamba mshambuliaji wao wa kimataifa wa uingereza Andy Carroll atakuwa nnje ya uwanja kwa takribani wiki sita  katakana na maumivu ya nyama za paja zinazomkabili.

 hamstring.

andycarrollinjured20120901_275x155.jpg
Andy Carroll: 

mmoja wa wasemaji wa Hammers aliwaambia ESPN: "Yes, sadly it is true."

Carroll huwenda akawa nje ya uwanja kwa kipindi cha wiki sita ,kwa maana hiyo atakosa mechi za usoni za club yak sambamba na mechi za kufuzu world cup 2014 kwa uingereza.

katika kipindi hike cha majeruhi  na kufuatia kupisha mechi za kimataifa  inamaanisha Carroll atakosa mechi nne pekee za Premier League.

No comments:

Post a Comment