TRANSLATE THIS BLOG

Tuesday, September 4, 2012

fupi fupi


TO DAY;TRANSFER GOSSIP
Manchester City wanajiandaa kuwapiku  Manchester United  kumsajili winger Cristiano Ronaldo, 27, toka  Real Madrid kwa ada ya  £95m.
---------------------------------------------------------------------------------
Manchester United ipo kwenye orodha ya timu inayotaka kumsajili mchezaji wa kimataifa mwenye miaka 23 striker Leandro Damiao,amber Tottenham walishindwa kumsajili msimu huu. 
------------------------------------------------------------------------------_62662157_moore_pa.jpg

washika bunduki wa london Arsenal wametuma mashushushu kumfuatilia mchezaji ambae yupo kwenye rada na Manchester United Liam Moore in action for Leicester city wikiend iliyopita. The versatile 19-year-old, anauwezo wa kucheza beki wa kati,beki ya kulia  au nafasi ya kiungo sass yup katika liege drama la kwanza
---------------------------------------------------------------------------------
lichee ya kusua sua katika liege na kuambulia vichapo,na kukosa safe ya ushambuliaji ya kueleweka,klabu ya majogoo wa jiji Liverpool hawana mango wa kumsajili mchezaji amber aliitumikia timu hiyo miaka ya nyuma Michael Owen amber kwa sass anaumri 32-year-old 
------------------------------------------------------------------------------------
klabu ya West Ham wanataka kumsajili beki wa kati wa zamani wa Sunderlland John Mensah, 29,burr kufuatia klabu ya Lyon ya ufaransa kufikia maamuzi ya kutomuongezea mkata. 
-------------------------------------------------------------------------------------beki wa kati wa mabingwa wa ligi kuu inchin uingereza Manchester City Kolo Toure huwenda akawa mbioni kuelekea Uturuki kunako klabu ya Galatasaray kwani vilabu hive kwasasa vipo katika muzungumzo ya dili hiyo ya toure mwenye miaka 31
OTHER GOSSIP
Fernando Torres, 28,ametoa ahadi kwa  Chelsea "a magic season" kwasasa ndio chaguo la kwanza la the blues baada ya kuondoka kwa now  Didier Drogba.

No comments:

Post a Comment